Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

Hatimaye nimepata dawa ya nguvu za kiume

Inategemea tatizo lilikuwa limekufika kiwango gani lakini unaweza kukaa miezi hata mwaka isitoshe huu ni mti tu hauna kemikali yeyote ukitaka kujiimarisha zaidi unaruhusiwa kurudia dozi ni wewe tu utakavyokuwa unajiona. Hii unakunywa kutwa mara 3 kwa siku 10 na siyo unapoenda mzigoni

Mkuu, ukiitumia inakaa mwilini kwa muda gani? au kila mara ukitaka kuingia kazini lazima ulambe tena na tena?
 
Sehemu ya kutestia haipo mkuu, hii ni kwa waliooa tu ndiyo maana nikaandika 'kama heshima imeanza kupungua huko nyumbani'. Kama hujaoa wala huna mchumba itakusumbua tu heri kukaa nayo mbali

Kuliwa Elfu hamsini nyingi, je nikinunua kuna sehemu umeandaa ya kutestia?
 
unaweza kwenda hata mara 5 kwa single shot! haijasemwa lazima upige 5. Kama umepiga 1 na upo comfortable unalala mkuu hakuna atakayekuuliza

goli tano nahama? kesho sipigi tena kwani? haaaa????????
 
Umenichekesha kweli kweli, zinahamia nyuma tena!. Huo ni mtizamo wako tu mkuu.

Karibu

Nguvu za kiume nani kakuambia ni Ugonjwa.
Mazoezi,kula vizuri habari kwisha.
Wenzio zinahamia nyuma hizo badala ya kwenda mbele
 
Inategemea tatizo lilikuwa limekufika kiwango gani lakini unaweza kukaa miezi hata mwaka isitoshe huu ni mti tu hauna kemikali yeyote ukitaka kujiimarisha zaidi unaruhusiwa kurudia dozi ni wewe tu utakavyokuwa unajiona. Hii unakunywa kutwa mara 3 kwa siku 10 na siyo unapoenda mzigoni

Hapo kwenye red ni uongo!
Huwezi kurekebisha matatizo ya mwili kwa kumeza/kula kitu kisicho na kemikali.
Kemikali ninini?
 
Chemical

Definition
noun, plural: chemicals
(1) A substance made up of chemical elements or produced from a chemical process
(2) A drug, especially illicit or addictive drug

Iyokopokomayoko ,from definition number 1,almost everything is a chemical,as all things are made up of elements.
Even water is hydrogen and oxygen chemically combined together.
Kwa hiyo mtu kusema dawa "haina kemikali" aidha ni kutokujua au ni upotoshaji tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom