Hatimaye nimenunua DStv, kama sio DStv potezea

Hatimaye nimenunua DStv, kama sio DStv potezea

Kinachokera ni pale wingu la mvua linapo tanda au mvua ikiwa inanyesha dude nalo linagoma alishiki mtandao basi ni kusubiri mpka hali ya hewa iwe poa
 
Jana nilileta uzi humu kuhusu ninunue king'amuzi gani kati startimes dish au dstv

Mawazo ya watu wengi au niseme wote wakanishauri nichukue dstv

Hatimaye kweli nimechukua dstv miee
Maana azam walinizngua sana hadi imebid niachane kutumia azam now nipo dstv
Kwa sh 79000 ndo bei nilouziwa na mwezi mmoja bure

Dstv wapo vizuri sana
picha zipo clear sana hasa ukiwa na flat screen kubwa

Thanks jf members kwa ushauri wenu murua
Nawapenda sana[emoji129] [emoji178] [emoji129] [emoji178] [emoji120] [emoji120]
Kwa mwezi unalipia sh.ngapi?
 
Back
Top Bottom