Hatimaye nimempata!

tukupe muda penzi jipya linakuwa vere howt mpaka unaeza fanya mambo ya ajabu kama haya
Kelele nyingiii, serious rship hazielezewi Jf, hizi ni sehemu za mbwembwe na kujifariji baada ya kupigwa matukio ya kutosha.

Atakachofanya huyu ni akipigwa chini hutaona ushuhhda wake wa kupigwa chini.

Ila all in all kwetu wanaume wenye darubini kali mwanamke anae andika andika sana mitandaoni ni wale wasiofugika (much knows).
 
Ni suala la muda Tu,😀😀😀
Stress bado ziko pale pale subiri muda ufike tu utaelewa
 
Wanaume tunamambo sana,Dr.mmoja nilimsikia anasema mwanaume vile vitu vya kwanza kumvuta kwa mwanamke ni muonekano eg.tako,mguu,jicho,rangi,urefu etc but akikaa nae 90 days huanza kuviona hivyo vitu havinamaana kabisa kwake.

Phase ya pili ndiyo huamua maisha yandoa kua yaendelee au yawe ya fujo au furaha,hii phase kwa mwanaume huutawakiwa na matendo ya mke,tambua mwanzo matendo yalijificha hivyo Matendo ndiyo yatadetermine maisha Yao yaweje.

My alert to you,tulia kwanza usijisifu Sana mapemaa(phase 1), kama unaitaka Ndoa chunga sana play smart.... Like uhuru huna umepolwa na mme. ...eg.kuchekacheka na Ma@X epuka,onesha mipango ya pamoja ya mdaa mrefu.
 
Asante kwa hekima hizi kiongozi Nzagambaaa 🥰🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…