Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

enjoy mwayaaaa, wakati wa kufurahi make sure unafurahi haswaaa na kipindi cha kulia kikifika utakabiliana nacho. Maisha ni leo
 
enjoy mwayaaaa, wakati wa kufurahi make sure unafurahi haswaaa na kipindi cha kulia kikifika utakabiliana nacho. Maisha ni leo
Safari hii ni kufurahi tu hakutakuwa na wakati wa kulia kwa uwezo wa Bwana 🙏
 
Hongera na kila lakheri!
 
Natamani nimpende mtoto wa mtu mpaka nae aje alete uzi kama huu, sijui nakwama wapi
 
Kivumbi kweli ukiachwa pia tushirikishe
 
Mwezi tu umeanza shuhuda😁
Amini amini nakuambia
Kitunze kibarua chako kisiote nyasi kwa sababu kiotesha nyasi chaweza ota nyasi wakati wowote
 
Umeanza mwaka vizuri, mfunge ndoa kabisa kama mnapendana kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…