snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,164
Si kila thread lazima uchangie mazee, kama unaona "so what" cha kufanya ni kuipotezea thread tu. Hapa wenyewe washabiki wa series watapost, inaonekana umeingilia fani isiyo yako.
.
Wengine ni waku wasamehe tu,
humu ndani sio wote wapo normal....
Mtu anaweza akawa kakorofishana na mtu huko kwao akiingia humu anaanza kujibu jibu tu.....