Nipe Andiko
Senior Member
- Jan 20, 2017
- 133
- 133
Kama heading inavyosomeka hapo juu, mimi mwenzenu uvumilivu umenishinda, maisha ya chuo bila mkopo sio kitu rahisi, nimeamua kufungasha kila kilicho changu nimerudi home!
Pole jembe.pole sana na hongera kwa kumaliza hata semester moja... mimi ile ile ya kwanza nilifungasha virago
Hakika, kilichopo ni kuunda UKUTA sasa,Nenda CHADEMA Mkuu, ndio watu wenye huruma sana na wanaoteseka kwa kuishi maisha magumu huku wakitutetea wanyonge na kupigania haki. Magufuli hafai. Njoo ujiandae na UKUTA
ThanxPole sana
ThanxPole sn
Unataka kusema wote waliokosa mkopo, HAWANA SIFA? Sikubaliani na wewe,Waliokosa mkopo walikua hawana sifa,,,,mbona wengine wanapewa? Sema kwamba sikua na sifa za kupata mkopo na ndio sbu sikupata,,ila sasa nakushaur nenda kapige jembe utapata hela mpak uliowaacha shule watakushangaa
Ndio kwa % 100... Sikulqzimshi kuamin ila wengi hawakua na sifa.. Au waligaka kutumia njia za uongo kupata mkopo na ndio maana ukadunda hata ukipokata rufaa... Inauma sana najua ila ivumilie maana ndio serikali kali na makin inavyofanya kaziUnataka kusema wote waliokosa mkopo, HAWANA SIFA? Sikubaliani na wewe,
Labda ina wezekana. . .Waliokosa mkopo walikua hawana sifa,,,,mbona wengine wanapewa? Sema kwamba sikua na sifa za kupata mkopo na ndio sbu sikupata,,ila sasa nakushaur nenda kapige jembe utapata hela mpak uliowaacha shule watakushangaa