vyoyote itakavyokuwa, ila mimi kwa upande wangu watu wanaopenda sana kupoteza mda mwingi vyuoni kujiendeleza kielimu huwa nawachukulia kama wana matatizo fulani ya kisaikolojia. hawapo sawa wale. we wachunguze vizuri utabaini kitu.Wakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
inaonekana unamahaba sana ya kutaka kunifahamu vizuri mimi ni nani.Naamini akati yeye anapoteza iyo 15yrs wewe ulikuwa unafanya ujasiriamali ni vyema ukatuonesha viwanda/kiwanda chako mkuu.
tatizo la watanzania ni kutoa ushauri ambao hata wao hawawezi utekeleza.
Nakuunga mkono 100%angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Alikuwa hana shahada ya awali? Watu wengine wamebarikiwa akili jamani mimi nilijuaga ana PhDHatimaye ndugu yetu Pascal Mayala baada ya kukomaa kwa muda mrefu na Elimu ya Juu afanikiwa kumaliza shahada ya awali ya Sheria ya Chuo Kikuu Dar es Salaam.
HONGERA SANA MKUU View attachment 937263
Only stupid and un-matured person can argue this way. Watanzania tuna kazi sana infact kuna baadhi ya kizazi kipo zama za maweNakuunga mkono 100%
That is what enlightment means!I'm very pathetic to live in this time where most of us(Tanzanians) believe on Education to have better sustainable life.Bookish oriented
Nitakuwa wa mwisho kuamini hili. Elimu sio kwa watu woteWakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
Kuna watu huwa wanabaniwa vyuoni humu makusudi Ila ni vichwa mwisho wa siku wananyoosha mikono wenyeweAlikuwa hana shahada ya awali? Watu wengine wamebarikiwa akili jamani mimi nilijuaga ana PhD
Mtoto wa nyoka ni nyoka.Paschal sio wa kitengo kile?
asante kwa post yako ndg.Nakuunga mkono 100%
That is what enlightment means!I'm very pathetic to live in this time where most of us(Tanzanians) believe on Education to have better sustainable life.Bookish oriented
Who knows kwamba yeye si miongoni mwao?Wakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.
Ukiidharau elimu kama unavyofanya ni tatizo kubwa sana.angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Bright!Naamini akati yeye anapoteza iyo 15yrs wewe ulikuwa unafanya ujasiriamali ni vyema ukatuonesha viwanda/kiwanda chako mkuu.
tatizo la watanzania ni kutoa ushauri ambao hata wao hawawezi utekeleza.
Halafu bachelor?Sijaelewa! 15 years?