Sasa hawa Chadema, mambo ya ndani ya Mke na Mume yanawahusu nini! Si wamwache CCM atete na Mkewe!

Wadau yaliyosemwa yameanza kutimia.Jana katibu wa itikadi na uenezi ccm nape nnauye alikutana katika kikao cha siri na vijana wa cuf na ccm huko Igunga katika ukumbi wa Silver C.Hata hivyo inadaiwa mkutano huo ulitibuka baada ya kugundua kuna mfuasi wa chadema alikuwa amejipenyeza ndani.

SOURCE MWANANCHI NEWSPAPER.

Nionavyo mie, huyu Nape huenda kaitwa na Mwigulu maana mambo yanawabana sana huko kwa taarifa tulizonazo, Nape ninavyomfahamu huwa hana msimamo na mara nyingi ni msahaulifu sana na hana uhakika na maneno yake kwa kuwa yeye ni vuvuzera tu aliyebahatika kuaminiwa kinafki na Mkweree. Sishangai kuona threads kibao humu kuhusu Nepi huyu maana najua maana ya propaganda chafu za ccm. Nirudi kwenye hoja ya msingi, by principal sishangai cdm kujipenyeza kwenye kikao cha ccm ila inabidi hizi suvelansi tekniki zao ziwe advanced kidogo, naunga mkono ujasusi wa cdm maana hata hao magamba wanafanya hivyo ila wao kwa teshal levo, na sisi tuiojulikana kirahisi tutaendelea kuwaspy hawa ccm hadi tuone mwisho. Nepi: vipi domo lako chafu lisilobreki nchi nzima kusema RA ni tatizo ccm na sasa unasema alofanya wana igunga wasiyabeze? Na kweli wasiyaneze kaka, kukwapua yale mabilioni epa, kuwa king maker, sio ya kubeza hata kidogo mkuu.

Kikao hicho walikuwa wanapanfa nini? Kuwapa wana Igunga Mbunge kwa maendeleo lazima vikao vya siri ?Au walikuwa wanapanga kuazimana helikopta maana bila hivyo Chadema hawashiki .Wanadhani Chadema wana mvuto kwa ajili ya helikopta waliyo kuwa wanapinga ?

habari za uzushi hizi, cdm wameanza kuchemka mapema!!
sasa hawa chadema, mambo ya ndani ya mke na mume yanawahusu nini! Si wamwache ccm atete na mkewe!
mzee hapo umelonga - tubaache benyewe baamue mambo yao tena ukizingatia walikuwa ndani duh......Sasa hawa Chadema, mambo ya ndani ya Mke na Mume yanawahusu nini! Si wamwache CCM atete na Mkewe!
Ha ha haaa nimeipenda hii!Kwakuwa wanapanga mipango ya uhalifu dhidi ya chadema, hapo ndipo wanalazimika kufuatiliwa na kuchunguzwa hata wakiwa faragha!!