Hivi Nape anatumia mchubuo?
ni kweli kuna matatizo kichwani, Ndiyo maana CCM na Habari leo waliposhadadia maisha binafsi ya Dr.SLAA tuliwaita wehu.Ukiona mtu anaingia kwenye mambo binafsi ya mtu basi ujue kunatatizo kichwani!
Hivi Nape anatumia mchubuo?
usimlaumu kwani hana tofauti na redio, toka lini redio ikaongea tofauti na kile mtangazaji anachokizungumza?uwezo mdogo huyu, analipi la kusema zaid ya matusi, uongo na kejel.i
Aaaah mkuu wangu nauliza tu maanake jamaa navyomjua sii mweupe kihivyo!Ukiona mtu anaingia kwenye mambo binafsi ya mtu basi ujue kunatatizo kichwani!
<br />Nadhani hoja za kisiasa ujibiwa kisiasa na si mipasho.Nakumbuka alijitokeza hapa katika thread moja ya ''wapi Nape'',alipata kejeli nyingi hapa kuwa amezuiliwa kwenda Igunga kupitia kikao cha kamati kuu ya Chama (CC).Wengi tuliamini hatokwenda kulingana na uvumi uliokuwepo sasa kama amefika basi kulikuwa na uzushi hapa tukubaliane.<br />
<br />
Sidhani kama tunapaswa ku-challenge hili.
Ndo maana yakeBasi jimbo limeshaondoka..no discussion any more..Chadema mshindwe wenyewe