Hatimaye nami nimepata mchumba wa kuoa

Exposure hapo ndo itakua shida na suala la malezi bora ya watoto litakua la kwako 80%
Exposure ipo japo sio kubwa sana, lakini amesoma hadi kidato cha 4 na amesomea mbali kidogo na nyumbani (karibu na mjini).

Yaliyobaki nitajitahidi kuwa mshauri wake, kiongozi wake na mwalimu wake
 
Usimlete mjini,abaki huko huko? Mjini vishawishi vingi,ataanza kutamani vitu
 
Kiongoz nikushauri kwamba kwa umri wa binti '19' ni bado sana kusema kuwa ametulia. Huyo binti ndo kwanza ametoka kweny utoto anaingia kweny usichana kwaiyo sio rahisi kwake kuwa na matukio tata mpaka kufikia muda huu. Nachokushauri endelea kuwa nae kwenye uchumba walau miaka mi3 ndo utajua tabia yake halisi.
 
Katika kosa mabalo siwezi tena kufanya ni kuwa katika mahusiano halafu nikae muda mref sijaoa. Ilishanicost zaidi ya mara 2.

Binti kama hajatulia hajatulia tu. Pale kijjn kuna walio chini yake kiumri lakini unaambiwa kabisa PALE USIOE.

Kama atabadirika acha tutajua mbele ya safari akiwa kwangu.

Pia, yule binti nikimkawiza tu WENGINE WATAMBEBA
 
Asante sana mkuu. Jamaa ni mtu poa kabisa, nimesoma nae namfaham kabisa kabisa hana tabia za kihuni na zaidi ameoa na ana familia yake. Na Zaidi ya yote, yeye (jamaa) na huyo binti ni mtu na kaka yake kiukoo
Hata wewe huyo binti ni ndugu yako mbona imewezekana tu
 
Ogopa sana wanawake wa kijijini hasa hawa mabinti wadogo,wakija mjini utaisoma namba akiujua mji hakuna namba utaacha kuona
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…