nacte thanks
Nacte wametoa 1&2 selection .unaangalia kwa kupitia kwenye CAS |DIPLOMA
nacte wametoa 1&2 selection .unaangalia kwa kupitia kwenye cas |diploma
Nacte wametoa 1&2 selection .unaangalia kwa kupitia kwenye CAS |DIPLOMA
Wale wa NIT orientation week ni kuanzia tarehe 15/10 mpaka trh 18/10. na masomo yanaanza trh 21/10. ratiba washaitupia ktk web yao ka vp ichekini
Nacte wametoa 1&2 selection .unaangalia kwa kupitia kwenye CAS |DIPLOMA
Nacte wametoa 1&2 selection .unaangalia kwa kupitia kwenye CAS |DIPLOMA
asante mkuu nimefanikiwa kuona na mimi, nilikuwa ktkt kipindi cha kusubiri leo nimekata kiu yangu, nimepata accountancy T.I.A
asante mkuu nimefanikiwa kuona na mimi, nilikuwa ktkt kipindi cha kusubiri leo nimekata kiu yangu, nimepata accountancy T.I.A
vp ayo majina ya nacte, mme yapata wapi cos nikiingia kwenye a/c yangu naambiwa selection is onprogress you will be notified when selection is done,na kwenye vyuo nilivyoomba sijapata,na nilikuwa first selection,
Wale wa NIT orientation week ni kuanzia tarehe 15/10 mpaka trh 18/10. na masomo yanaanza trh 21/10. ratiba washaitupia ktk web yao ka vp ichekini
joining instructions tunapataje sie wa nit???nimepangwa hapo logistix and trnspt mngnt.......km vp tuchekiane thru 0717382652,0658645615....tupeane taarifa kdg
yapo kwenye profile yako labda haujaangalia vzuri. Tena imeandika selection completed sasa bonyeza link ya chini yake. KWENYE USERNAME WEKA EMAIL ADDRESS YAKO ULOTUMIA NACTE NA PASSWORD THEN LOGIN UTAONA IMEANDIKA SELECTION COMPLETED HAPO NDO U CLICK LINK YA CHINI YAKE UTAONA
BRO uwezi amini sijaona kitu,nikifungua profail langu akuna kitu zaidi yazile selection zangu ambazo nilichaguaga long time,sasa sijui itakuaje cos jina kwenye walio kosa sipo nisaidie nifanyeje mtu wangu,