Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,732
Acha kutetea ujinga umalaya ni hulka.Tafuta hela kijana hakuna haja ya kulilia mapenzi!
Kuchapiwa ? Kuna shida mahali,,,aidha humfikishi huyo mkeo ama huna hela kwa hio humtimizii mahitaji yake ,,, tatizo lipo Kwako !!!
Asilimia kubwa ya wanawake walioko kwenye ndoa wanachepuka kwa sbb zifuatazo;
Kutoridhishwa
Uchumi
Gubu/kutukujali n.k (hii sababu Ni Minor)
Wa kuiweka ndoa yako kwenye mstari ni wewe!
Wacha kulia lia hapa
Usitutoe kwenye sherehe za kuzaliwa Mesiah
Najaribu kuacha 😁😁Acha vurugu mkuu..😂
Haya kirithimathi njema.Najaribu kuacha 😁😁
Hela?? Kutokumfikisha??? Usijidanganye bro mshukuru Mungu Tu Kama mkeo katuliaTafuta hela kijana hakuna haja ya kulilia mapenzi!
Kuchapiwa ? Kuna shida mahali,,,aidha humfikishi huyo mkeo ama huna hela kwa hio humtimizii mahitaji yake ,,, tatizo lipo Kwako !!!
Asilimia kubwa ya wanawake walioko kwenye ndoa wanachepuka kwa sbb zifuatazo;
Kutoridhishwa
Uchumi
Gubu/kutukujali n.k (hii sababu Ni Minor)
Wa kuiweka ndoa yako kwenye mstari ni wewe!
Wacha kulia lia hapa
Ndio Mamaa, Mambo si MamboKwa hiyo ndio umejoin leo ili uanzishe huu uzi?
Ha ha ha sio wewe. Mpende mkeo, achana na huyo mke wa mtuMkuu shida Nini ? Unanisema Mimi au ? Mana Nina mke ila juzi tu mke wa mtu kanipenda , ila sijafanyanae chochote ,Mana hazija pita siku nyingi kwa hiyo naimani sio Mimi, muhimu kufahamu namna ya kutunza ndoa , wanawake wanachepuka sana, zaidi ya wanaume.
Vitoto vina shida hivi...Kwa hiyo ndio umejoin leo ili uanzishe huu uzi?
Hakuna justification ya uzinzi bwana wapo wanaopitia mikasa mikubwa Sana'a kuliko hiyo lakini hawazini!Tafuta hela kijana hakuna haja ya kulilia mapenzi!
Kuchapiwa ? Kuna shida mahali,,,aidha humfikishi huyo mkeo ama huna hela kwa hio humtimizii mahitaji yake ,,, tatizo lipo Kwako !!!
Asilimia kubwa ya wanawake walioko kwenye ndoa wanachepuka kwa sbb zifuatazo;
Kutoridhishwa
Uchumi
Gubu/kutukujali n.k (hii sababu Ni Minor)
Wa kuiweka ndoa yako kwenye mstari ni wewe!
Wacha kulia lia hapa
Kuchapiwa ni siri ya ndani banaa...!!! Utaimwagaje siri ya ndani kirahisi hivi?Nawasalimu wote.
Nyie wanandoa aisee hebu heshimuni ndoa zenu.
Nimeoa miaka 5 Sasa juzi nimegundua wife anachepuka na Jamaa. Tena kirahisi rahisi tu. Huyu mwanamke nilikuwa Nampenda aisee, Ila kaniona Fala. Kinachoniuma zaidi sijawahi kuchepuka pamoja na vishawishi vyote navyokutana navyo Ila niliheshimu ndoa kinyama.
Daaah aiseee, Jamaa anaetembea nae nimemfahamu nae pia Kaoa, Sasa hapa nawaza sijui nikalale na mke wake halafu nifanye nae ujinga wote halafu nimtumie uchafu niliofanya na mke wake.
Kweli kuna watu hawana Akili Sasa unachepuka vipi na mke au mume wa MTU halafu na wewe ni mwanandoa? Halafu ukisikia mwenzako anachepuka unalalamika wakati wewe umelala au kulalwa na Mtu ambae analala au kulalwa na mwingine???
Hili Jambo limebadilisha kabisa mtazamo wangu Kwa wanawake na kitu inaitwa ndoa.
Mnaotaka kuoa hebu tafakarini mara mbili mbili Kwanza, Kama hamuwezi vumilia zinaa na mna roho ngumu oeni. Ila Kwa wale wanaoweza vumilia zinaa na hawana sababu za msingi za kuoa msijaribu hata Kidogo, narudia tena msijaribu.
Asilimia kubwa ya wanawake wanataka kuolewa ili kupata Ile heshima na title kwamba ni mke wa Mtu Ila deep down hawaelewi nini maana ya ndoa na ni nini Wana sacrifice wanapoingia katika ndoa.
Ila maamuzi niliyochukua ni kutengana na wife ninayempenda Ila ndio hivyo mapenzi hayalazimishwi pia umri wangu bado ni rika la 20's hivyo still bado takuwa na Mambo mengi ya kufanya.
Wife nishamsamehe na huyo jamaa waliefanyana nae shamsamehe nimemwachia Mungu sababu Kisasi ni cha Mungu na hata Yule mke wake nitamwonea tu.
Kuna Muda nasema Sasa wanawake watanikoma ni chapa ilale ha ha ha, daaah Ila deep down naona tawaonea tu kwa makosa ya Mtu mwingine.
Wenye ndoa ambazo hazina wachepukaji mshukuruni Sana Mungu Siku zote bila Kuchoka sababu msiba usikie tu Kwa jirani yako.
Huu mwaka nimeumaliza vibaya Ila naamini ni mwanzo mpya wenye nguvu na mwanga zaidi.
Mfurahie sikukuu hii ya Christmas.
kuchapiwa ni siri ya ndani, hayo maneno walisema kina naniKuchapiwa ni siri ya ndani banaa...!!! Utaimwagaje siri ya ndani kirahisi hivi?
Kwani si umeona hapo mimi niemsema? Unataka hadi aseme nani ndo iwe imesemwa?kuchapiwa ni siri ya ndani, hayo maneno walisema kina nani
Oya richard unaleta utani zimaaaa
Nash mc
Ni kauli ilioendana na mazingira ya zamani kwa sasa huo ukomavu na malezi yake havipo ukiweza Shukuru muumbapole sana mkuu ila hawa wanadam hawakomolew uez shindana na ulipotokea utachoka mwenyew mzee mikubwa jpge kifuan mara tatu useme mm n kidume ntamove one kwenye hil..
Nb mke haachw kwa kuchepuka sjui wazee walkua wanamansha nn huu msemo
Kabla hujamuacha mfanyie bonge la drama, kwanza rafuta mtu, mchepuko, lala huko chat nao full time uone anaumia ama?Nawasalimu wote.