K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Nov 1, 2012 #1 Sasa hivi kitu inakata vumbi iliyosheheni, sijui walioko uwanjani hali ikoje!
IGWE JF-Expert Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,716 Reaction score 8,124 Nov 1, 2012 #2 Acha uongo...mbona hakuna mvua zaidi ya wingu
Captain22 JF-Expert Member Joined Aug 25, 2011 Posts 630 Reaction score 285 Nov 1, 2012 #3 Mawingu tuu mvua mbona bado acha wenge
K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Nov 1, 2012 Thread starter #4 Jamani!...mvua nayo imkuwa ya mgao!?
Mwitongo JF-Expert Member Joined Jan 30, 2009 Posts 312 Reaction score 362 Nov 1, 2012 #5 Hiyo mvua ilikuwa inasubiri Arusha itangazwe jiji ndipo inyeshe? Au imeletwa na JK?
K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Nov 1, 2012 Thread starter #6 Nimekinga pipa zima limejaa maji...!
SOKON 1 JF-Expert Member Joined Dec 28, 2010 Posts 1,134 Reaction score 331 Nov 1, 2012 #7 Uku ungalimited mpaka sasa inanyesha, tena mvua kubwa
Ndallo JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 7,619 Reaction score 4,304 Nov 1, 2012 #8 Ni kweli inanyesha huku maeneo ya Sakina lakini nimempigia jamaa yangu aliye town jua ni kali!
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Nov 1, 2012 #9 IGWE said: Acha uongo...mbona hakuna mvua zaidi ya wingu Click to expand... Captain22 said: Mawingu tuu mvua mbona bado acha wenge Click to expand... he he he....mnapenda mvua eeeeehh.......
IGWE said: Acha uongo...mbona hakuna mvua zaidi ya wingu Click to expand... Captain22 said: Mawingu tuu mvua mbona bado acha wenge Click to expand... he he he....mnapenda mvua eeeeehh.......
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Nov 1, 2012 #10 Ndallo said: Ni kweli inanyesha huku maeneo ya Sakina lakini nimempigia jamaa yangu aliye town jua ni kali! Click to expand... mbele ya Sakina kama unaenda Namanga ndio usiseme......mafuriko kabisa.....
Ndallo said: Ni kweli inanyesha huku maeneo ya Sakina lakini nimempigia jamaa yangu aliye town jua ni kali! Click to expand... mbele ya Sakina kama unaenda Namanga ndio usiseme......mafuriko kabisa.....
K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Nov 1, 2012 Thread starter #11 Na huko hasa ndiki niliko Preta!
R r2ga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 2,651 Reaction score 2,738 Nov 1, 2012 #12 Nipo hapa mwenge wingu imetanda na mvua imeanza kunyesha wstu wanatawanyika
Azizi Mussa JF-Expert Member Joined May 9, 2012 Posts 9,198 Reaction score 7,537 Nov 1, 2012 #13 Aya !kwa hapa longijavhe inaigia ndani sasa kupilia dirishani.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Nov 1, 2012 #14 r2ga said: Nipo hapa mwenge wingu imetanda na mvua imeanza kunyesha wstu wanatawanyika Click to expand... vipi.....wamemaliza kuupaka huo mnara rangi......?
r2ga said: Nipo hapa mwenge wingu imetanda na mvua imeanza kunyesha wstu wanatawanyika Click to expand... vipi.....wamemaliza kuupaka huo mnara rangi......?
Safari_ni_Safari JF-Expert Member Joined Oct 5, 2007 Posts 23,265 Reaction score 17,135 Nov 1, 2012 #15 SOKON 1 said: Uku unga limited mpaka sasa inanyesha, tena mvua kubwa Click to expand... Huku Maharage Ltd jua kali sana....:becky::becky::becky:
SOKON 1 said: Uku unga limited mpaka sasa inanyesha, tena mvua kubwa Click to expand... Huku Maharage Ltd jua kali sana....:becky::becky::becky:
nyaucho Member Joined Apr 24, 2011 Posts 40 Reaction score 11 Nov 1, 2012 #16 Ssa utaona hawa jamaa wa Idara ya maji watakavyo fungulia maji machafu kwa fujo.
sabasita JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 1,501 Reaction score 393 Nov 1, 2012 #17 niko hapa msikiti wa bondeni...kumejaa maji balaa mvua ni kubwa sana.....mamlaka ya hali ya hewa wamedhihirisha ushupavu wao na uzalendo na umakini kabisa kitu ambacho kinazidi kuiletea sifa sirikali sikivu ya wazalendo wa ccm:majani7:
niko hapa msikiti wa bondeni...kumejaa maji balaa mvua ni kubwa sana.....mamlaka ya hali ya hewa wamedhihirisha ushupavu wao na uzalendo na umakini kabisa kitu ambacho kinazidi kuiletea sifa sirikali sikivu ya wazalendo wa ccm:majani7:
K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Nov 1, 2012 Thread starter #18 hah! sabasita mvua na ccm wapi na wapi afu unajua yule mama wa hali ya hewa chama gani?
Facilitator JF-Expert Member Joined Oct 30, 2010 Posts 2,279 Reaction score 1,772 Nov 1, 2012 #19 Naskia Kimandolu inanyesha sana now
R r2ga JF-Expert Member Joined Apr 5, 2012 Posts 2,651 Reaction score 2,738 Nov 1, 2012 #20 Bado nipo maeneo ya mwenge mvua bado ni kubwa na mafuriko kila mahala hivi sasa..