Hatimaye 'mtemi' Jecha Salim Jecha ang'atuka

hatimaye kaibuka!
legendary Jechaaaa!!😀😀
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Nenda kapumzike Salama Jecha, kwa hakika umetengeneza historia haitasahaulika vizazi na vizazi katika ulingo wa Kisiasa.
 
Kwa hisani ya Kingasharon😀😛
 
Napendekeza kuwe na siku ya mapumziko ya KITAIFA Jecha day! KUMUENZI HUYU NGULI!
 
anaonekana ni wa makamo otherwise ningemporomoshia mtusi mpya..shenzy taip
 

Ana msimamo..hayumbishwi
 
Kifo nakikubali sana.
Huwa hakiangalii cheo
Kikimzonga mtu anakuwa mpole
Anakuwa mzito hajiwezi tena
Ndipo matendo ya mtu hutangulia mbele.
Note: Jamani tufanye yote ila tukumbuke kifo.
Natania tu

Kifo hakina utani
 
Hah hah hah hah hah, honestly hii consultancy Joseph Kabila ameipatia
Aidha, Mwenyekiti huyo amemueleza Dkt. Shein kuwa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imechaguliwa kuwa kiongozi wa Uchaguzi Mkuu wa nchini Congo utakaofanyika mwezi Disemba mwaka huu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jecha kaishatumika sasa kawekwa kando.... Walomtumia watamsahau muda si mrefu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…