Hatimaye Mizengo Pinda Asimikwa .........

Basi hapo feeling zake yuko kwa munisaidie
 
Anachukud maujanja ya utawala wameshajilink na mauchawi ndo maana .
 
Personal reflection ni kitu muhimu sana katika maisha. PM anahitaji sana hili katika mchakato wake wa kutaka kuingia ofisi kuu.....Kama hatajidanganya mwenyewe.....sitashangaa akija akasema ' Mambo ya uraisi mie aku...!"
 
pichani ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea silaha za jadi, upinde, mishale na usinga kutoka kwa Machifu wa kabila la Wakonongo katika mji wa Inyonga wilayani Mlele akiwa katika ziara ya jibo lake la uchaguzi Januari 7, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
haya hayana maana , ingekuwa yana maana leo tungekuwa mbali kitecholojia, timu zetu za mpira zingekuwa zinawika,
Mila na utamauni ni kitu muhimu sana lakini ushrikina huna maana
 
Kamwambie mwalimu aliyekufundisha shule akurudishie Pesa yako ya ada,walikuibia bila ya kukufundisha kitu
 
Tunaambiwa ikulu inaongozwa na majini tunakataa. Huyu nae keshajua Doctor kikwete ame- upload majini ya kutosha nae anaenda kutafuta mizimu!
Akitoka hapa ataenda kuwekewa mikono na wachungaji!!!!!!!!!!!!!!!!! what a mess!
 
Kamwambie mwalimu aliyekufundisha shule akurudishie Pesa yako ya ada,walikuibia bila ya kukufundisha kitu
yaani wewe ni miongoni mwa mambulula humu JF, kwenda kama ID yako, kuna shida gani kufafanua ulichoandika nkwani nimekuuliza kiungwana ukajibu kifedhuli bado nikashuka ikesha bado unakuja na vihoja vya dharau dharau
 
​nchi ina mazingaombwe hii, ndo mana hata hatuendelei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…