sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,041
Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond,
Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb
Matokeo yake ni channels nyingi sana zilianza kukua kwa kasi huku millard akitrend kwa taabu mno
hali hii pia ilichangia kushuka kwa views kwenye channel ya millard na kusababisha upungufu wa pesa wanazolipa youtube.
Naona saizi kijana ni aidha akili zimemrudi au kabanwa kisawa sawa kaanza kumpost Diamond
Hongera sana millard, umeba