Hatimaye mheshimiwa Kafulila ameamua kuoa...

Hatimaye mheshimiwa Kafulila ameamua kuoa...

10641015_1712480125644681_5450235863369133206_n.jpg


Kafulila pichani muda mfupi baada ya kumchumbia rasmi mchumba wake anayejulikana kwa jina la Jesca.

Bado Zitto.
Kuowa na kuchumbia mchumba ni vitu 2 tofauti hapo bado hajaowa Mheshimiwa Kafulila Mkuu Ndibalema Rekebisha usemi wako umekosea kusema hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Mikorogo itawauwa nyie kina dada ona mavidole yalivyogoma kutakata mkiamua kunichubua muingie gharama tatizo mnapaka vikadolite na movate iyo ni sheeddaaa fyuuuu.
 
Dah huyo binti kajichubua hadi mkorogo umedunda kwenye mikono
10641015_1712480125644681_5450235863369133206_n.jpg


Kafulila pichani muda mfupi baada ya kumchumbia rasmi mchumba wake anayejulikana kwa jina la Jesca.

Bado Zitto.[/QUOTE]
 
Kajichubuaa afu vidole vimekomaa inaonekana anapaka carolite angepaka mkorogo wa ghali isingekua hivyo kweli ushamba mzigo
 
We dada...usitulingie na engagement ring yako ya laki na nusu....wenzio tulishazivaa za milioni na zikavuka bila kuolewa....na wenzetu nao wakavaa hata pete za harusi hata miezi sita haikutimia.... M.....bafu
 
JF inaweza punguza alama kwa mchumba. Mara mkogo, jamani tutafika??
 
Back
Top Bottom