Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,425
Mbunge wa Jimbo la Kyela, ndugu Mlaghila, aliyefahamika kama mbunge bubu, hatimaye leo amesikika akisema neno bungeni.
Bali jambo ambalo Mbunge huyo amelisema bungeni halihusiani na Maendeleo ya Kyela, ila amezungumzia foleni zinazosababishwa na misafara ya viongozi
Mungu isaidie Kyela ipate msemaji wa shida zake.