Hatimaye Mbeya kumetulia


FaizaFoxy naona hujasoma vizuri halafu hujaelewa kabisa hivi aliyefyata mkia ni nani kati ya hao vijana na serilikali. hivi umeelewa kuwa wameambiwa warudi kuendelea na shughuli zao mahali ambapo walikataliwa.
halafu angalia blog ya MBEYA YETU UTAONA JINSI PEOPLES POWER ILIVYO NA NGUVU. KUWA MKWELI DADA YANGU. USINGEKUWA MZEE NINGEKUOA.
 
Reactions: EMT
Kuna track yake moja anasema ...'leo nakuchana,acha nikuchane..'ni vzuri hii track awapelekee maaskari waisikilize make Sugu ni nouumaaaaaaaa
 
Viongozi wa Mbeya Wanazidi kutudhihilishia tu kuwa serikali yetu inaishi kwa matukio na kamwe wao c binadamu wa kawaida wanaweza kujifunza kutokana na makosa mengine...yaleyale mazungumzo baada ya kuua na kuumiza raia wasio na hatia kwa kodi zao.
 
Nyie mnaoshabikia machafuko hayo mnajua madhara ya kufanya biashara mitaani bila kuwa na sehem maalum?kwanza mwny biashara hawezi kupata mkopo kirahs koz alipo ni barabaran,kumbukeni pale kariakoo kongo,pili govt inakosa mapato tatu uhalifu unaongezeka na 4 unplaned city...acheni ushabiki usio na maana.mbeya haina rais coz ule ni mkoa ambao ni sehem ya tanzania na rais wa tz ni jakaya kikwete.
 
Ametaka watolewe na wametolewa,ila kwa mujibu wa mdau alonijuza ni kuwa kumekua na maneno ya hapa na pale baina ya sugu na d.c pamoja na r.c,pia raia waliendelea kumnyanyua juu juu mdau wao sugu,na wanaendelea kumuita Rais
sasa mbona heading inaonyesha kashawatoa? then habari inasema "kataka", tuache ushabiki uliopitiliza!
 

Naona inakuuma kama ID yako. 🙂
 
You can fool some people sometimes,You can't fool all the people all times .BIG UP WANA MBEYA
 

naona unatengeneza remix ya thread..kwahiyo mazungumzo ya kandoro na wanahabari ndo umeleta huo muafaka?ukweli utakuweka huru daima.
 
Mkong'oto ulishawatuliza zamaani. Sugu kapata pakutokea.
 

Kuna tofauti ya kuongea na waandishi wa habari na kuongea na wananchi. Na hii picha ya msaidizi wake hapo chini says it all. FF nikupeleke dinner?

 
Kweli Sugu rais wa Mbeya.Ukombozi umefika Tanzania! Aibu yao Magamba CCM mwisho wao umefika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…