Elius Obadia
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 445
- 174
Swala la sumaye ....kutazani si swala la ksiasa kwa mtu anaye fikiri
Babu Kingunge yupo kijijini anashughulika na tiba asili Sumaye apone...si unakumbuka aliingia Bunge la katiba kama nani?vipi kingunge, mbona hujaenda kumjulia hali sumaye nawe uko hapo hapo? au uko kwenu lindi unapumzika baada uchovu wa uchaguzi na kipigo toka chama ulichokijenga kwa miaka zaidi ya 60? tujuze mzee?
Lowassa ni msanii kama ilivyo fani yake!Duh! Lowassa alihamia Geita wiki mzima akidai maiti ya Mawazo mahakani na msemaji wake mkuu Sumaye.
Hapo namuona James Mbatiya lakiniakina Professor Baregu wako wapi? Mtu ukifa unakuwa na thamani kubwa CHADEMA lakini kuumwa tu hakutoshi.
CCM wanatembeleana wao kwa wao
hahahahhahahhaahNamaanisha ccm wa huku na wa kule........damu nzito.....
Na rafiki wa mpumbavu hakosi adhabuRafiki wa kweli huonekana wakati wa dhiki.
Sumaye hawezi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA!LOWASSA NI MNAFIKI ALIKUA WAPI SIKU ZOTE MPKA CCM WAMEENDA NAE NDO ANAJIFANYA KAENDA....KWA HALI HII SUMAYE HAWEZI PEWA UKATIBU MKUU CDM.
KWELI TUPENDANE JAPO KINAFKI LILE BIFU LA KARNE KATI YA SUMAYE NA LOWASSA HALIJAWAHI KWISHA NA HUU NDO USHAHIDI.
Hilo jina la taasisi aliyolazwa lilimfanya Lowasa awaze Mara mia!LOWASSA NI MNAFIKI ALIKUA WAPI SIKU ZOTE MPKA CCM WAMEENDA NAE NDO ANAJIFANYA KAENDA....KWA HALI HII SUMAYE HAWEZI PEWA UKATIBU MKUU CDM.
KWELI TUPENDANE JAPO KINAFKI LILE BIFU LA KARNE KATI YA SUMAYE NA LOWASSA HALIJAWAHI KWISHA NA HUU NDO USHAHIDI.