Hatimaye Lowassa amekubali kushindwa





 
Last edited by a moderator:

Hiv jamani hamuogopi hata Mungu kwa kwa kudanganya mchana kweupe!
 

Hawa wafuasi wa ukawa wengi hawajui wanayo yashabikia' leo lowassa akisimama mahali au mbowe na kuinadi ccm wote utawasikia ccm oyeee! Wapo kama mikondoo , ukiwa unaiswaga ukafunga kamba kimo cha wao kuweza kuruka wakiruka watano wa mwanzo hata ukichomoa hiyo kamba wengine wote wanaofuata nyuma wataruka hata kama kamba haipo! So watakua wanaruka bila sababu ya kuruka na wangekua na uwezo wakuongea ukiwauliza waliofuata baada ya wale watano wa mwanzo " mbona mnaruka wakati hamna kizuizi cha kuruka " watakujibu " tunaruka kwakuwa wenzetu nao waliruka ", kumbe wenzao waliruka kamba wao wanaruka hamna
 
Naona hamna pa kuhemea duh ...masking ccm ....aaaa sina huruma na nyie IMETOSHA...25 Oct. Nawasubir
 
Unasema hapa kazi tu wKat muda wote upo mtandaon kazi tu IPI ? Kutujengea barabara zilizo Na mabonde mabonde ✌✌✌✌
 

Akipiga kampeni munalalamika kuwa huduma zinasimama na watu wote kymfuata. Akioumzika kidogo mnaanza matusi kuwa eti ameishiwa.
 
Kwa nn mnapenda kuzusha?
Au kinyeo kinakuwasha?
 

Ni sawa sawa na nyumbu. Mmoja akivuka mto kina kirefu akawa anachukuliwa na mkondo wa maji marefu, nyumbu hawawezi kutafuta mahala pengine penye kina kifupi ili wavuke salama, bali watakanyagana kumfuata yule wa kwanza hata kama amekufa nao watakomaa hapo hapo na wanaweza wengi wakasombwa na maji wakafa.
 
Kura mmeenda kupigia kwenye site yenu mlipo fichia ilani! Mbwa anatishiwa kwao!? Yani blog ya chadema ukapige kura za magufuli! Maneno ya mkapa nazidi kuyazingatia

hapa kazi tuuu!
 

Attachments

  • 1441885319495.jpg
    18.6 KB · Views: 168
Mwenzetu wewe ni mhasibu wake au vipi???
 
Lowasa ndiye rais. Magamba tulieni dawa ipate kuwaingia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…