Hatimaye Lawrence Masha apata dhamana

Mtoa Mada ana reflect hali halisi ya wafuasi wa ukawa...na Mkapa hakukosea katu kuwaita vile.
Kweli mkuu ambao jasho linanyonywa kila siku na tabaka tawala huku wakipewa elimu duni tiba duni na kutukanwa katika nchi yao ndo mana watajikomboa kutoka ktk adha hizi oktoba 25
 
Ni njema tu kama katoka salama bila kusumbuliwa kama wale uamsho wa Zenji, manake dah!
 
Robert Kisena aliyekuwa mgombea wa ccm kule Maswa mwaka 2010 alimtwanga ngumi OCD mpaka akadondoka chini na kofia kumvuka lakini hakuchukuliwa hatua yoyote ile.
 

Karibu tena uraiani kamanda
 
Kweli mkuu ambao jasho linanyonywa kila siku na tabaka tawala huku wakipewa elimu duni tiba duni na kutukanwa katika nchi yao ndo mana watajikomboa kutoka ktk adha hizi oktoba 25

Elimu duni ipi,waliosoma vijijini kwenye mazingira magumu na shule za kayumba wengi ndio watu wenye vipaji na uelewa mkubwa.pia shule hizo zimejenga ukakamavu mf.kulima na kutunza bustani,kufika mapema na kufanya usafi,na mengine mengi.leo hii mtu hâta kwake hapati tabu ya mambo madogo madogo,sio ukikosa binti na kijana wa kazi mji unageuka kichaka.
Nitasifia daima shule hizi,zimetoa watu mashuhuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…