BradFord93
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 921
- 2,243
Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala kazi(vyuma vimekaza...kazi hamna na ndo kwanza nimemaliza chuo)
Sikuona shida maana mimi kufanya maamuzi magum sijaanzia kwake....japo nilimpenda saaana.....nlijitoa sana kw aajili yake....kila nilipoenda sehem ilikuw lazima nirudi na zawad yake.....ikabidi niachie ngazi na kuachana nae
Baada ya kuachana nae nlielekeza juhudi katika kutafuta maisha...na nilimuomba sana Mungu anipe pesa.....japo niliachana nae ila kuna kpindi nilimtafta nkamuambia jinsi nimpendavyo jibu alonipa ni "asante....kuumia ni uamuzi"
Hapo ndipo aliponitia hasira zaidi.....nkakazana saana kwenye biashara....nilifanya biashara bila kupumzika....sikuwa na jpil...mda wote n kazi
Namshukuru Mungu now biashara imesimama.....nmeongeza bidhaa kibao kwenye biashara....plus pia nmechukua rum kabsaa na mazaga kbao rum
Sasa kuna siku rafiki yangu alipiga pcha rum yangu akapost mtandaoni na kunipa hongera...!!baada ya hapo ndo usumbufu umeanza
Yule girl ameanza kutuma text....hua namjibu then nampotezea....but atarudia tena....nami namjib hlf napotezea.....!but atatuma tena text...!!
Sasa je huyu mtu nmfanye nn???...maana kwakweli sitaki kuonekana boya...!!kamwe usiruhusu wakukute pale walipokuacha
Sent using Jamii Forums mobile app