Hatimaye kaanza kurudi kwa taratibu

Hatimaye kaanza kurudi kwa taratibu

Useme kabisa kimeimbwa na gwiji wa muziki wa 'Kantiri', Kenny Rogers, miaka ya hivi karibuni kimerudiwa na bingwa 'Dansi holi', Busy Signal. Kwa kifupi umenihamisha kwenye mada ndugu, nakumbuka hii ngoma zaidi kuliko mjadala. Asante!
Au ule wimbo wa "IF YOU DON'T LOVE ME NOW DON'T LOVE ME LATER, WHEN MY LATER IS MUCH CREATER"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo pa kupiga picha "rum" na huyo rafiki na ku-post does not sound masculine to me! back to the topic huyo mwanamke bado unampenda ndio maana umeandika uzi huu, usirudiane naye abakie kwenye historia tu, cha msingi akijilengesha we kula mzingo na maisha yaendelee, usimwambie chochote kuhusiana na uhusiano wenu wa kimapenzi hata akiuliza, akiwa na busara ataona mazingira na aondoke!
 
Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala kazi(vyuma vimekaza...kazi hamna na ndo kwanza nimemaliza chuo)

Sikuona shida maana mimi kufanya maamuzi magum sijaanzia kwake....japo nilimpenda saaana.....nlijitoa sana kw aajili yake....kila nilipoenda sehem ilikuw lazima nirudi na zawad yake.....ikabidi niachie ngazi na kuachana nae

Baada ya kuachana nae nlielekeza juhudi katika kutafuta maisha...na nilimuomba sana Mungu anipe pesa.....japo niliachana nae ila kuna kpindi nilimtafta nkamuambia jinsi nimpendavyo jibu alonipa ni "asante....kuumia ni uamuzi"

Hapo ndipo aliponitia hasira zaidi.....nkakazana saana kwenye biashara....nilifanya biashara bila kupumzika....sikuwa na jpil...mda wote n kazi

Namshukuru Mungu now biashara imesimama.....nmeongeza bidhaa kibao kwenye biashara....plus pia nmechukua rum kabsaa na mazaga kbao rum

Sasa kuna siku rafiki yangu alipiga pcha rum yangu akapost mtandaoni na kunipa hongera...!!baada ya hapo ndo usumbufu umeanza

Yule girl ameanza kutuma text....hua namjibu then nampotezea....but atarudia tena....nami namjib hlf napotezea.....!but atatuma tena text...!!

Sasa je huyu mtu nmfanye nn???...maana kwakweli sitaki kuonekana boya...!!kamwe usiruhusu wakukute pale walipokuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamu yake, piga papuchi afu kamtupe tabata dampo...

This means the story of both of your lives is about to unveil again. Same drama and probably will end up in the same pain. Na kama alivyosema "Maumivu ni Uamuzi". Think boy! think!
 
Ndugu huo ndo uhalisia...but tunajifunza...thanks kwa ushaur mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika kosa utakalolifanya na utalijutia katika masha yako yote ni KURUDIANA NAYE NA MTAKAPORUDIANA NAYE LAZIMA ATAKUACHA KAMA ALIVYOKUACHA MWANZO UKIWA MTUPU. Umefanya kosa kubwa sana kumjibu mesej Ulitakiwa usingejibu hata meseji mmoja.
 
bila shaka hujapitia mambo mengi. mtu kama ulikua unampenda sana then akakuacha kwa sababu ya hal yako mbaya na siku mambo yako yakikaa vizuri kisha akataka kurudi ni vigumu sana kumkatalia.

True love never die mkuu. Utajikuta unakubali na kujibu sms zake hata kama in the past alikua anaku-bluetick sana.

ushauri wangu: kama mtoa mada unampenda huyi demu, mkubalie tu ule mzigo ila usiweke malengo naye kama ya kuoana au mipango yako usiiweke wazi sana. kula mzigo sana na kama una nafasi kula mara nyingi kwa wiki kufidia siku alizokuacha upunguze hasira zako pia. piga mashine kwelikweli na siku ya kwanza tafuta hata vumbi la mkongo umkunje mtoto. ila usisahau kutumia kondomu kwan hujui huko alikoenda kafanywa kitu gan.

Mm hapa nina hasira na mademu wawili waliniacha baada ya kuona sina hela. Natafuta hela kisha niwarudie nikawapige miti then nawaacha.

success is the best revenge kwa waliokuacha lkn sex is also the best revenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka niliachana nae mwaka jana......hii ilikuwa ni baada ya yeye kuanza dharau na kiburi(yote haya n kwakuwa alipata mtu alomzuzua na kunisahau) na pia n kwakuwa sikuwa na hela wala kazi(vyuma vimekaza...kazi hamna na ndo kwanza nimemaliza chuo)

Sikuona shida maana mimi kufanya maamuzi magum sijaanzia kwake....japo nilimpenda saaana.....nlijitoa sana kw aajili yake....kila nilipoenda sehem ilikuw lazima nirudi na zawad yake.....ikabidi niachie ngazi na kuachana nae

Baada ya kuachana nae nlielekeza juhudi katika kutafuta maisha...na nilimuomba sana Mungu anipe pesa.....japo niliachana nae ila kuna kpindi nilimtafta nkamuambia jinsi nimpendavyo jibu alonipa ni "asante....kuumia ni uamuzi"

Hapo ndipo aliponitia hasira zaidi.....nkakazana saana kwenye biashara....nilifanya biashara bila kupumzika....sikuwa na jpil...mda wote n kazi

Namshukuru Mungu now biashara imesimama.....nmeongeza bidhaa kibao kwenye biashara....plus pia nmechukua rum kabsaa na mazaga kbao rum

Sasa kuna siku rafiki yangu alipiga pcha rum yangu akapost mtandaoni na kunipa hongera...!!baada ya hapo ndo usumbufu umeanza

Yule girl ameanza kutuma text....hua namjibu then nampotezea....but atarudia tena....nami namjib hlf napotezea.....!but atatuma tena text...!!

Sasa je huyu mtu nmfanye nn???...maana kwakweli sitaki kuonekana boya...!!kamwe usiruhusu wakukute pale walipokuacha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama tako analo malizana nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kesha gongwa huko mpaka basi ndo anakuja kwako, binafsi katika maisha yangu sipendi na hata siku moja sitokubali kua back-up plan ya mwanamke.. yani mipango na mahusiano yake yakibuma ndo anaona mimi wa maana huo upuuzi sifanyi ni afadhali nikajiunge na kile chama fulani niwe mkeleketwa sio huu upuuzi wa kua back up plan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ndogo sana.

Mpigie simu Muulize Kwanini Anakusumbua Wakati Alikuacha Mwenyewe?. Jibu Atakalokupa njoo nalo hapa nikupe hitimisho.
 
Mkuu inaonesha ulipiga picha mwenyewe ( ushasema alikutia hasira ukazisaka pesa ukapendezesha geto na kwa kuwa umeona mambo mazuri hapo gheto ukataka umuumize na hukua na njia ingne zaidi ya kupiga picha geto ukatafuta namna aione!)

Ulikusudia nini kumringishia tujimafanikio twako?

Anyway kwanza unaonekana demu unampenda sasa ya nini kujiumiza roho kwa kujishaua?? Ndege karudi mtini mpokee na maisha yaende!

Pengine alikukimbia coz alikuona huna mbele wala nyuma!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom