Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,144
- 3,459
Habari jana nilitoa 24 hours kwa wahusika WA halopesa baada ya kuwatafuta na kuniletea nyodo, wakazani masihara.
Asubuhi saa Moja wakarudisha kwa kubip halafu wakafunga Tena huduma nikatingisha tunguli moja baada ya muda wakaachia nadhani sasa wamejua kwamba uchawi upo, unapo pata kitengo usidharau wa chini.
Soma Pia: Halotel tanzania mnataka kujua kama uchawi upo ama laah mana mnacheza na maisha ya watu kwa kutopatikana huduma ya Halopesa