Hatimaye Donbass yaangukia mikononi mwa Urusi

Hatimaye Donbass yaangukia mikononi mwa Urusi

Waziri wa ulinzi wa Urusi sergey shoigu ametangaza rasmi kuwa jeshi la urusi kwa kushirikiana na wanamgambo wanaotaka(waliojitenga tayari) wa Luhansk na Donetsk wamefanikiwa kulikomboa jimbo la mwisho kabisa ndani ya donbass lililokuwa likishikiliwa na wapiganaji wa Ukraine. Kukombolewa kwa eneo hilo kunaifanya donbass yote kuwa chini ya utawala wa majeshi ya urusi na washirika wake na kufanya urusi ifikie malengo yake ya kuwakomboa watu wa Luhansk na Donetsk.

Baada ya kupokea taarifa kutoka kwa waziri wa ulinzi rais Putin haijulikani kama bado ataendelea na operation ndani ya ukraine ama atafanya mpango wa kulinda ardhi aliyoitwaa toka ukraine

Soma zaid za motomoto kutoka al Jazeera na RT...

RT: Donbass republic fully liberated – Russian defense minister

The whole territory of the Lugansk People’s Republic has been wrested from Ukrainian control, Moscow says

The last remnants of Ukrainian forces have been driven out of the Lugansk People’s Republic (LPR), Russian Defense Minister Sergey Shoigu announced on Sunday. He reported the news to President Vladimir Putin, the Defense Ministry said in a statement.

Shoigu said Russian troops and Donbass forces had completely seized Lisichansk, the last major city which had remained under Ukrainian control since 2014, when the LPR declared its independence shortly after a coup in Kiev.

Russia and Ukraine reported heavy fighting around Lisichansk earlier this week, with the most fierce combat occurring at the city’s oil refinery.

News of the capture of Lisichansk comes after Ukrainian troops retreated from Severodonetsk, a nearby city on the opposite side of the Seversky Donets River, last week. The fighting for Severodonetsk had lasted for several months.
Mkuu sio Donbas ondoa upuuzi wako hapa ni miji 2 tu na hii sio kwamba vita imeisha, ni kawaida Russia kuchukua mji leo kesho ikarejea mikononi mwa wenyewe Ukraine, kumbuka Snake Island.
 
Kilichobaki ni kui de-militarize kabisa Ukraine yaani Kuharibu kabisa miundo mbinu ya kijeshi ya Ukraine.Kupiga zana zote zinazoingizwa kutoka nje.
be carefully., Marekani wana budget ya miaka 5 vita ya Ukraine, Russia inapigika fuatili what next, jana Belgrade moto uliwaka huko kwenye vinu vya mafuta vya putin karibu na mji mkuu Mosccow
 
Mkuu sio Donbas ondoa upuuzi wako hapa ni miji 2 tu na hii sio kwamba vita imeisha, ni kawaida Russia kuchukua mji leo kesho ikarejea mikononi mwa wenyewe Ukraine, kumbuka Snake Island.
Punguza makasiriko kijana utakufa
Tutajie hem mayor wa mji wa snake island kwanza
Pia tunaelewa kua RUSSIA hupokonywa miji c tumeona alipopokonywa MAURIOPOL
kunywa maji meeengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukraine wanaaminishwa watapewa silaha na msaada zaidi ili waishinde Urusi,ila bila kujua wanazidi kupoteza na hawatoweza tena kurejesha hayo maeneo.
 
be carefully., Marekani wana budget ya miaka 5 vita ya Ukraine, Russia inapigika fuatili what next, jana Belgrade moto uliwaka huko kwenye vinu vya mafuta vya putin karibu na mji mkuu Mosccow
Uwe unafuatilia habari vizuri! Hizo ajali za moto ni za kawaida tu kama vile ambazo zinatokea Marekani.
 
Uwe unafuatilia habari vizuri! Hizo ajali za moto ni za kawaida tu kama vile ambazo zinatokea Marekani.
Ajali za moto kwenye vinu vya mafuta eti? Mbona russia wameihusisha ukraine kwenye hiyo ajali
 
be carefully., Marekani wana budget ya miaka 5 vita ya Ukraine, Russia inapigika fuatili what next, jana Belgrade moto uliwaka huko kwenye vinu vya mafuta vya putin karibu na mji mkuu Mosccow
Belgrade?
 
Back
Top Bottom