Ebu niambie unalipwa pesa ngapi na ccm maaana nimefuatilia hoja zako nyingi zimejaa u ccm aka ujinga.Sio yeye peke yake aliyopewa medali ya heshima na waandaji wa Ndondo cup...bali ni pamoja na Mgeni rasmi Naibu Waziri Mhe Shonza,Mr Kusaga mwenyewe wa Clouds media na wengine.Na wala mahusiano hayajarudi leo ni muda mrefu tu wamekuwa wako pamoja na clouds media.
Unapovamia studio na bunduki,iweje mmiliki wa studio(Ruge) asiwe na ugomvi na mvamizi badala yake ukagombane na msimamizi wa studio(Ruge)?Ugomvi haukuwa kati ya clouds na makonda.bali kati ya Ruge na makonda.lakini owner wa clouds Kusaga hana tatizo na makonda
Amesahau mpk fiesta kidogo isingefanyika hapo dar sababu mwny mkoa wake hakutaka ifanyike mpk "mzee baba"-Rais alipotoa go ahead wakeshe mpk asubuhiKubali tu hawakuwa na mahusiano mazuri ili tuokoe muda kwa kuepuka ligi isiyo na maana
Ndiyo hapo sasa mkuu watu wanajitoa ufahamuAmesahau mpk fiesta kidogo isingefanyika hapo dar sababu mwny mkoa wake hakutaka ifanyike mpk "mzee baba"-Rais alipotoa go ahead wakeshe mpk asubuhi
Muuwaji Bashite.Sio yeye peke yake aliyopewa medali ya heshima na waandaji wa Ndondo cup...bali ni pamoja na Mgeni rasmi Naibu Waziri Mhe Shonza,Mr Kusaga mwenyewe wa Clouds media na wengine.Na wala mahusiano hayajarudi leo ni muda mrefu tu wamekuwa wako pamoja na clouds media.