Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,596
- 5,584
Taifa kubwa lenye Technology kubwa! Kwanini hawataki wengine WAMILIKI techonology ya kuunda silaha ili washindane nao?
uko ushabiki na ushabiki maandazi!
ni kweli Marekani ndio Taifa linaloongoza kwa kujilimbikizia silaha na kufanya matumizi ya silaha zilizozuiliwa...
lakini tuko na mifano:
Je kumtoa Sadam Iraq ulikuwa ushindi wa Vita?
uko mfano mdogo Tanzania ilimtoa Amin na kuteka uganda nzima je marekani ilifanya hivyo Iraq?
Leo kuna Libya... kinachoendelea kinajulikana!
Ikiwa bado marekani pamoja na technology yao ya ndege za kivita - wana-copy technology ya mig-25 ambazo mrusi hazitengenezi tena kweli technology yao inatisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! tazama utendaji wa sukhoi vizuri kisha umuulize mmarekani zimeshamnyanyasaje!