John Shibuda, ameibuka na kutetea maandamano yanayofanywa na chama chake, huku akionya CCM kuacha kufanya kile alichokiita mchezo wa kugeuza polisi kuwa ICU ya kutibu maradhi yake ya siasa za ufisadi.
Kukosekana kwa Shibuda katika maandamano na mikutano ya Chadema hata yalipotua mkoani kwake Shinyanga, kuliibua mguno wa chini chini miongoni mwa wapenzi na washabiki wa chama hicho.
Source : Gazeti la Mwananchi la leo
Wakuu, huyu " Chibuda" tunaweza kweli kumwamini au ni kauli "danganya toto" ???:A S 13:
Huyu bwana leo anaweza kuwa wa bluu, kesho mwekundu na keshokutwa wa kijani
Na wewe ni nani anayekuamini! Tuache tabia za kitoto. Kama wewe humwamini kaa kimya siyo unaanza kumobilize wengine!
Shibuda: ''Namfahamu JK kama Rais halali wa JM wa Tz''.....
Shibuda: ''Namfahamu JK kama Rais halali wa JM wa Tz''.....
John Shibuda, ameibuka na kutetea maandamano yanayofanywa na chama chake, huku akionya CCM kuacha kufanya kile alichokiita mchezo wa kugeuza polisi kuwa ‘ICU ya kutibu maradhi yake ya siasa za ufisadi.
Kukosekana kwa Shibuda katika maandamano na mikutano ya Chadema hata yalipotua mkoani kwake Shinyanga, kuliibua mguno wa chini chini miongoni mwa wapenzi na washabiki wa chama hicho.
Source : Gazeti la Mwananchi la leo
Wakuu, huyu " Chibuda" tunaweza kweli kumwamini au ni kauli "danganya toto" ???:A S 13:
Naipenda CHADEMA kwa kuwa kila mwanachama yuko huru kuamua ushiriki wake katika kila jambo kwa dhamira yake. Ni utamaduni mpya ambao tunapaswa kuuenzi na kuuzoea. Wajifunze tu kuheshimu maamuzi ya vikao vyao halali.
Kwangu cha maana ni ujumbe alioutoa kwa chama tawala maana unaendana na hali halisi iliyopo nchini.John Shibuda, ameibuka na kutetea maandamano yanayofanywa na chama chake, huku akionya CCM kuacha kufanya kile alichokiita mchezo wa kugeuza polisi kuwa ‘ICU ya kutibu maradhi yake ya siasa za ufisadi.