Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,831
- 6,878
Bye bye Charles Hillary ntakukumbuka kukuona kwenye tv daima tangu nakua na kusikia sauti yako na sura yako leo kwaheri sitakuona tena BBC welcome home we real love you .......
Nilikuta ndo anaamalizia kuaga ata sikuelewa..ndo kastaafu!!! ..mbona mapema sasa ...
Nilikuta ndo anaamalizia kuaga ata sikuelewa..ndo kastaafu!!! ..mbona mapema sasa ...
Nilikuta ndo anaamalizia kuaga ata sikuelewa..ndo kastaafu!!! ..mbona mapema sasa ...
Tutakutana nae Azam media, umri umesogea amestaafu sasa ila Azam anakuja kufanya kwa mkataba kama Mkurugenzi wa Azam media, tutegemee makubwa kutoka kwake kama alivofanya Tiddo Mhando
Nilikuta ndo anaamalizia kuaga ata sikuelewa..ndo kastaafu!!! ..mbona mapema sasa ...
Ni kweli kabisa, tutegemee mambo makubwa kutoka Azam media.Tutakutana nae Azam media, umri umesogea amestaafu sasa ila Azam anakuja kufanya kwa mkataba kama Mkurugenzi wa Azam media, tutegemee makubwa kutoka kwake kama alivofanya Tiddo Mhando
Bye bye Charles Hillary ntakukumbuka kukuona kwenye tv daima tangu nakua na kusikia sauti yako na sura yako leo kwaheri sitakuona tena BBC welcome home we real love you .......
Vizuri kwa vipi, how vizuri is vizuri- purely personal outlook!Hua anatangaza vizuri sana
Anakuja kwenye utumwa wa kiarabu/kihindi, with no liberty/freedom to report! Sana sana kujikomba kwa mwarabu/mhindi na ku-betray wenzake apate favour! Ndio ajira za binafsi zilivyo nchi za dunia ya tatu kama yetu!