Jimmy Kadebedebe
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 468
- 191
Sintofahamu hii imetokea katika mkutano wa hadhara uliofanyika Leo kuanzia majira ya saa nane mchana na makamanda ambao wameitikisa wilaya ya Mbinga ambayo ndio tegemeo la CCM kujichukulia kura za bure.Mkutano wa Leo umekusanya watu wengi kuliko siku zote ambazo chadema imeshawahi kufanya mikutano hiyo.
Watu wengi wazee kwa vijana wamerudisha kadi za CCM wakiwemo wenyeviti wanne wa vitongoji na waliogombea udiwani kura za maoni na kuachwa kwa kile kinachodaiwa uchaguzi kutokuwa wa huru na haki.
Nawasilisha.