ni kweli ni uzinduzi wa kanda ya kusini kwani ilishindikana kufanyika mtwara na lindi kutokana na hali halisi ,hivyo atakuwepo mwenyekiti taifa
mbowe na wabunge na makamanda kadhaa hiyo kesho, leo dr.slaa yuko mererani , lema monduli,kesho marando, safari na wengine wapo bagamoyo , ali bananga leo yuko kwa mwigulu, mawazo yuko geita, yaani ni twanga kotekote.