Ngalikivembu
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,959
- 876
nasi maccm kwa kupitia Rpc na ocd walitaka kuzuia mkutano wala maandamano yasifanyike, lakini cdm wakakomaa mpaka kwa Rc, Rc baada ya kubanwa ameruhusu mkutano na si maandamano! Maccm bila polis mambo hayaendi.Vp joto likoje kwa policcm