Hatimaye bodaboda wagoma kuburuzwa

Hatimaye bodaboda wagoma kuburuzwa

Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani?  watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo hapa ni kazi tu.

uvccm mna kazi kweli sku hizi. Kazi yenu Ni kushinda kwenye mitandao kumtukana lowasa na ukawa, siasa maji taka,fitina na umbea. Lakini watanzania WA sasa wapo imara tutamchagua lowasa kwani ndie kiongozi bora.
 
Pima mwenyewe umepima ee kuwa dawa nzuri hupimwa kwa udogo wa dozi tena mara moja...basi hakika uko pamoja nasi kwani sisi hatuna vyombo vya dola hatuzuii media kufanya coverage hatuzuii viwanja kwa ajili ya kampeni, nyie dozi kubwa mnaolazimisha media ziwaonyeshe nyie tu na ziwapigie mkampeni za nguvu huku wengine tukinyimwa fursa hiyo. nakishukuru sana kituo cha azam tv kwani hakina ubaguzi huo. pima mwenyewe fanyeni mfanyavyo goli la mkono hamlipati ng'oo na tanzania bila ccm itawezekana oktoba 25. lazima tufanye mabadiliko ili msibweteke.
Hivi wewe unatambua kwamba humu duniani kuna majukumu ya kila mtu na kwa wakati wake? Unajua kwamba dawa nzuri hupimwa kwa udogo wa dozi tena mara moja tu kwa siku na siyo kwa unene wa kidonge kutwa mara tatu? Umepotea rafiki
 
Hapo kwel anawadanganya wtz kwa kupanda daladala huyu kwel kaishiwa ccm mbele kwa mbele 2015
 
Back
Top Bottom