47pro
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 1,204
- 333
Kichwa cha habari na ulichokiandika hakuna uhusiano hata kidogo. Nimepata mashaka ya upeo wako
Duh, japo mi ccm, ila mwana kaunguza picha!!! Kichwa cha Scania, nyuma mabehewa ya treni aaaaaaahaha...
Kichwa cha habari na ulichokiandika hakuna uhusiano hata kidogo. Nimepata mashaka ya upeo wako
Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani? 😄😂😂 watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo😂😂😂😂😂 hapa ni kazi tu.
Nilijua umeandika cha maana kumbe ni piga debe zombie la maccm.
sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani? í-½í¸„í-½í¸‚í-½í¸‚ watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngorooí-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚í-½í¸‚ hapa ni kazi tu.
##upumbavu na ujinga ni kusema hapa kaz tu ilihali huna hata kaz inazurula tu mtaani kama chizi##
Kichwa cha habari na ulichokiandika hakuna uhusiano hata kidogo. Nimepata mashaka ya upeo wako
Hueleweki wewe,kiswahili chenyewe hujui andika vizuri, .....,"chamakinacho tubuluza",
Hapo sasa ndio ile effect ya Dr. Slaa inaendelea kumla Fisadi anaye panda daladala ili kuwarubuni watu.
JF ya sasa hiv ni tofauti sana na ile ya miaka ya 2008, members walikuwa wanatupia thread zenye akili, kweli hii itakuwa BRN output.Hivi utamwelewaje mtu asiyejielewa kwanza? Hii ndiyo BRN!
Wenye vichwa vya samaki huvuliwa miaka nenda rudi kwa nyavu zile zile na ndoano zile zile; lakini wanaojitambua, no!Sibadiliki sifati chama kinachotubuluza nafuata kiongozi bora atakae fanya kazi nzuri asie jisifu kwa lolote anae kula ugali wa kawaida kama mimi na sifa zake zinajulikana kuanzia zamani na sio muigizaji eti ndio aligundua kupanda dala dala na kula kwa mama ntilie leo, siku zote alikua aoni dala dala???? Mama ntilie walikua hawapo zamani?  watanzania mnachezewa na wasanii watu wapo kimaslahiii msiwe kama nyumbu wa ngoro ngoroo hapa ni kazi tu.
Hueleweki wewe,kiswahili chenyewe hujui andika vizuri, .....,"chamakinacho tubuluza",
makitoro hapo ni kazi ya undorobo....wewe usifuate wenzako wengi wanafuata...huulizi huyo anayeahidi kujenga barabara wakati mwenyewe alikuwa waziri wa barabara alikuwa wapi kabla? huulizi huyo anayeshangaa dawa hamna hospitali wakati alikuwa serikalini , alikuwa wapi? huulizi ahadi za elimu bure anazitoa sasa alikuwa wapi....watanzania tunataka mabadiliko na tutayapata kutoka ukawa