habari za jioni
Niko kwenye lindi la kushangaa na kuogopa sana kulikoni
Bishanga
awe hivi siku hizi kwani ile tabia yake ya mwanzo ya kupenda pesa
haipo tena. sijui kwanini alikuwa mchapakazi na mzalendo kwa kila
mtu alikuwa mwenye heshima na staha, mwenye utulivu na hekima
lakini kadri siku ziendavyo mbele tabia yake imebadilika sana tena
sana amekuwa na tabia ya ajabu ya kupenda kutoa pesa kwa
akina dada na kujiona fahari juu ya jambo hilo, yeye anaona ujiko
anaona kuwa amewin kumbe anajidanganya nasi yake na kupotea
anajiona kuwa yuko very intelligence kumbe anachechemea kwa
mkono mmoja. hajui kuwa kuna siku atawaona tena hao madada
na marafiki ambao anawaambia wape hawa 7 za kopo na chupa
Hajui kuwa marafiki wengi huwa nawe siku ukiwa nazo siku
zikikimbia hizo hela wote wanaondoka na kukucheka ovyo na
kusema siku hizi jamaa ameshusha net ! unabaki na mkeo tu
naye akiona maisha magumu anakukimbia au si kweli
The secretary?
Namuomba
Bishanga aturie na awe macho na marafiki ambao
si wema kwake awe mwaminifu