Hatimaye Bishanga aonekana mitaa ya jf

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,910
Katika pita pita zangu nakutana na jamaa kavaa shati la kitenge kumcheki vizuri ni Brother Bishanga. Kwa kweli amenisimulia kilichomtokea hadi machozi yakanitoka na kunitiririka.

Karibu tena Brother Bishanga bepari la kihaya mkeo The secretary nimeshamtakasa tayari
 
Last edited by a moderator:
Bishanga ndiyo nani ?
Ni membar wa humu au?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
heee bestito ulikuwa hujui kuwa aliwekwa selo la segerea huyo tena
isitoshe kwa tabia yake ya kupenda vitu vya Watu wakamdrop manzese
ile kutahamaki LOL! anajikuta yuko nguvuni mwa maafande kiwatengu tena
amefungwa minyororo utadhani anaunda skrepa mpya, sasa best nusu chozi la
kiplastic limtoke ovyo akijifanya ananyonya :baby: :baby:kiaina yake ile kuniona tu
akalegea na kunifotoa 😛hoto: mithili ameona :music: mbele yake
acha aanze kuniita majina ya ajabu wewe mtoto, mama naniii Kaizer njoo
mara utasikia kalifonia weeeeeeeeeeee nilibaki nikimshangaa nisiweze msaidia
maana niliona amerukwa na akili
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahhahahahahahahahahahahahahahhaahahhahahahahahahahahhahhahaha
 

Mmh sasa apo aliyerukwa na akili ni nani
 
Last edited by a moderator:
Ninachoshukuru ni kwamba wake zake wapo ingawa huenda walichepuka,tumkaribishe mjengoni kwa roho safi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…