DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,291
- 29,485
Nn
Sasa siungemuuliza yy kipindi anakupigia Sisi tulikuwepo
Nasi na ww mpigie kwenye no zake zote alafu mwambie aendelee na mambo yake ulikosea noYeye anasema alikosea namba mkuu. Japo alinitafuta kwenye namba zangu zote.
Tena kwenye line zake zoteNdiyo kina uhalisia,simu ilijipigaaa teh teh teh!
Teh teh teh!hapo kashtua kiroho kinamuenda mbio anasikilizia jamaa amtafute akiona kimya atakosea namba tenaaaTena kwenye line zake zote
Hii kauli imenifanya niwaze marambili mbiliusimwamini mwanamke
usimwamini mwanamke
Hii kauli imenifanya niwaze marambili mbili
Yule ex-gf wangu alizioesha hivo hivo...
Tukigombana nauchuna kimyaa... Haipiti week huyo kapiga cm...
Nini? Nilikua nakusalimia tuu..
Poa. Njoo basi... Anakuja nambandua viwili, tunacheka maisha tuna enjoy....
Ebana eeee.... Mara ya mwisho tumegombana nikauchuna tena... hadi leo sijaona cm wala message kubabake mwezi wa 6 huu..... Cjui ashapata lijamaa lingine linambandua hukoo duuuh... Maana demu ana viuno yule.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.