Hatimaye Amurudisha mawasiliano

Wanawake wote kabisa wanapenda sana kubembelezwa hapo anachosubiri ni wewe um-bembeleze kwa maneno matamu then atarudi normal tatizo ukimbembeleza kila wakati wengine ndo wanachukilia hiyo kama silaha kitu kidogo atanuna sana ili abembelezwe....Na kesho...na kesho kutwa...na......dah ni changamoto sometimes.
 
Yule ex-gf wangu alizioesha hivo hivo...
Tukigombana nauchuna kimyaa... Haipiti week huyo kapiga cm...
Nini? Nilikua nakusalimia tuu..
Poa. Njoo basi... Anakuja nambandua viwili, tunacheka maisha tuna enjoy....

Ebana eeee.... Mara ya mwisho tumegombana nikauchuna tena... hadi leo sijaona cm wala message kubabake mwezi wa 6 huu..... Cjui ashapata lijamaa lingine linambandua hukoo duuuh... Maana demu ana viuno yule.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng.
 
Back
Top Bottom