Hatimaye Alphonce Lusako ahitimu, ni baada ya miaka 12

Hatimaye Alphonce Lusako ahitimu, ni baada ya miaka 12

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,073
Reaction score
134,453
20201121_14430510015.jpg
20201121_144336133899.jpg


Hongera sana mwanaharakati. Nakukubali saaaaana
 
Ni nani haswa, na kilichokuwa kinamfanya anafukuzwa chuo ni nini?
 
Pascal Mayala ,ilimchukua miaka 15 kumaliza degree ya law Udism .Bora huyu.
Mkuu binti murembo Victoire, Laiti ungelijua...!.
Bandikoni la Alphonce Lusako, angalau ungeanza kwanza kumpongeza mhitimu, ndipo uje ulete makorokocho!.
Sasa liko post No. 20, kati ya hizo, 10 posts zinamzungumzia asiyehusika!, mpongezeni kwanza mhitimu ndipo muulize maswali ya mambo ya makorokocho!,
P
 
Back
Top Bottom