Hatimaye Afunikwa

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Rais wa Seneti ya Ufaransa Mhe. Jean Pierre Bel, alipotembelea makao makuu yake jijini Paris.
 
Huyu Jamaa anatuhaibisha kweli kweli. Kwa kifupi anatudharirisha sana...
 
Si yuko ziarani jamani na taarifa mnayo, au?
wepesi kwa kura ya siku mmoja, ila maumivu ya miaka mitano hamtaki.
 
Kwa nini asipokelewe na Hollande....wanaojua protocol watujulishe?
 
Idd Amini alishawahi kumtumia JKN telegram ya kumwambia ni mzuri..., je ingekuwa kwa huyu Vasco Idd angeiandikaje?
 
Huyu Jamaa anatuhaibisha kweli kweli. Kwa kifupi anatudharirisha sana...

1.Rekebisha lugha yako. Unawafundisha nini watu wanaotaka kujifunza kiswahili kwa kupitia Jukwaa la JF?
2. Ametuabisha? How? Ametudhalilisha? How? Acheni chuki binafsi, mheshimiwa RAIS hana kosa lolote hapo.
 
'Ametuabisha' ndo nini!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…