Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,674
- 31,060
Huyo alipewa urais na CIA, na ndio mwanzo wa mgogoro wote wa Ukraine.Zelensky hajafaidi urais wake kabisaa. U-commedy wote umemtoka!
Huyo alipewa urais na CIA, na ndio mwanzo wa mgogoro wote wa Ukraine.Zelensky hajafaidi urais wake kabisaa. U-commedy wote umemtoka!
Ndio tafsiri ya kichwa chako?Ndio maana viongoz wenu ni wez maana hata nyiny mnaamin ktk wiz
Acha wasome nambaHuyo alipewa urais na CIA, na ndio mwanzo wa mgogoro wote wa Ukraine.