Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,772
- 35,771
- Thread starter
- #21
Ndio maana yakeDah kumbe na wazungu nao wanaona kama tuonavyo sisi?
Kua Kampuni ya ulinzi imewashinda NATO?
Ndio maana yakeDah kumbe na wazungu nao wanaona kama tuonavyo sisi?
Kua Kampuni ya ulinzi imewashinda NATO?
Ndio maana viongoz wenu ni wez maana hata nyiny mnaamin ktk wizZelensky hajafaidi urais wake kabisaa. U-commedy wote umemtoka!
Kuna muda mnasema wanajeshi wa NATO ndo wanapigana ila hapo warusi halisi wanasema ni trained na supplied by west na sio west wenyew wapo mzigon , sasa nyiny warusi wa buza mnatoaga wap hz story za NATO ipo uwanjanHatari sanaView attachment 2628925
Kisa anatetea nchi yake ? Kwmb kuna nchi au ukanda mwingne mbali na west wangeweza msaidia amkabili mvamiz Putin ? nyiny ndo mnasema hesab ngumu kumbe vichwa vyenu vigumuKama unafwatilia vizuri mataifa makubwa huwa sometimes yana tabia ya kuweka marais wanaofwata matakwa yao, zelensky ni kibaraka wa USA na west kwa ujumla.
Kwamba jeshi la ukraine na urusi unaeza wafananisha ?Wagner Group ni kampuni ya ulinzi nilisha leta mada hapa kuhusiana na jeshi la Marekani na nato kuwa ni overated lakini baadhi ya watu wakanipinga ona sasa kampuni ya ulinzi imekomboa mji kutoka katika jeshi la nchi linalosaidiwa na Nato hii ni history ya aibu sana
Habari hii ni mwiba uliokita kwenye koo la MK254
Tulia dawa iingie acha kuruka ruka.Kuna muda mnasema wanajeshi wa NATO ndo wanapigana ila hapo warusi halisi wanasema ni trained na supplied by west na sio west wenyew wapo mzigon , sasa nyiny warusi wa buza mnatoaga wap hz story za NATO ipo uwanjan
Kwani ni uongo zelensky ni kibaraka wa west?Kisa anatetea nchi yake ? Kwmb kuna nchi au ukanda mwingne mbali na west wangeweza msaidia amkabili mvamiz Putin ? nyiny ndo mnasema hesab ngumu kumbe vichwa vyenu vigumu
Technically ni mji wake maana Bakhmut ni moja ya miji ambayo iko chini donbas na donbas kwa sasa iko russia baada ya kura kupigwa!Jamaa umenikosha sana hiyo heading "hatimaye Russia imekomboa mji wake wa Bakhmut"
Wayukreini wa Buza na Bonyokwa povu ruksa
Hawa si ndio wale walisema patriot hajawashwa moto? Sasa tuwaamini vipi tena?Wagner wanawatesa sana kiakili nyie maustadh Bakhmut bado kizaazaa, Wagner wanatafuta sababu za kuondoka
Tuko pamoja nilikuwa nikimaanisha hivyo pia. Donbass tuliipokonya kutoka Ukraine kinguvu kwa sasa ni eneo la Urusi tunajimilikishaTechnically ni mji wake maana Bakhmut ni moja ya miji ambayo iko chini donbas na donbas kwa sasa iko russia baada ya kura kupigwa!
Hawa si ndio wale walisema patriot hajawashwa moto? Sasa tuwaamini vipi tena?
Unafuga paka ili aue panya wanao sumbua ndani alafu unaamka unakuta paka kafa mbaya zaidi kauliwa na panya alio kua anatakiwa awaue. Sad sad!Patriot ndio muarubaini wenu, zinalinda hadi raha na Bakhmut imeshindikana Bakhmut bado kizaazaa, Wagner wanatafuta sababu za kuondoka
Uongoo, Vita bado inaendeleaMji huu wa donbas umekombolewa kutoka kwa mvamizi Ukraine, sasa mji umerudi katika himaya ya Urusi.
My take:
Hawa wagner ni balaa, yani wameli chachafya jeshi la Ukraine na NATO kama hawana akili!
Link: Key Donbass city captured – Wagner chief
Unafuga paka ili aue panya wanao sumbua ndani alafu unaamka unakuta paka kafa mbaya zaidi kauliwa na panya alio kua anatakiwa awaue. Sad sad!