Hatimae Umeme Warudi Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae Umeme Warudi Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Junius, Mar 8, 2010.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 133
  UMEME UMERUDISHWA, REPEAT UMEME UMERUDISHWA BAADA YA MATTENGENEZO MAKUBWA.

  HIVI SASA UMEFIKIA HAPO MTONI CONTROL NA ENERGIZING YA T1 NA T2 AT 132KV PRIMARY 33KV SECONDARY

  TAYARI SUCCESSFUL……

  KESHO MONDAY FEB 08 0700ZULU ALIAS 1000LTZNZ MATANGAZO YA TAHADHARI ZA KUREJESHA MAJUMBANI KWA MAJARIBIO YA LOAD TESTING YATATANGAZWA KUELEKEA 1205ZULU ALIAS 1505LTZNZ KUREJESHWA HDUMU HII MUHIMU KWA KUENDELEZA MAJARIBIO….
  source:eek:mmykiss web blog
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 133
  Thanks God
   
 3. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #3
  Mar 8, 2010
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 640
  Trophy Points: 280
  Poleni wa Zenj. mmeteseka sana
   
 4. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Du afadhali hawa jamaa wawe back dunianni manake mtu ulikuwa kuongea naye kwenye simu anasema fanya haraka charge itakata sasa hivi!! lol Kama wamezaliwa upya au wamepata uhuru baada ya mapinduzi
   
 5. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,359
  Likes Received: 1,084
  Trophy Points: 280
  Poleni na hongereni wandugu,mmeteseka sana aisee
   
 6. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,484
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Ndo faida ya kuwa na uongozi legelege unaoendesha mambo yake ktk mfumo wa ajali.
   
 7. RayB

  RayB JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 2,754
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kaka nakushutumu kwa kunifanya nicheke mpaka nipaliwe hapo manake nilikuwa najinywea sparkling water yangu hapa ndo nini tena mfumo wa ajali!? teh teh
   
 8. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #8
  Mar 8, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Hongereni Wazanzibar woteeeeeeeee.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...