ndugu yako
Senior Member
- Mar 30, 2013
- 193
- 97
Hiyo ni kesi ngumu kidogo. Kifupi unapoenda jeshini, mwili unakuwa ni wa jeshi na ndio maana huwezi kwenda
kulala wakati wa chakula kisa hujisikii kula au unasikia usingizi. Wao ndio wenye mwili wao. Wanaupa kazi na wanaulisha.
Sasa usaili ni kama shopping ya jeshi katika kutafuta vijana wao. Kwa hiyo mwisho wa siku wao ndio wataangalia kama
hilo kovu lina impact gani kwa mtu kuwa mwanajeshi, mfano kama una kovu la risasi au panga inakuwa ni mjadala
mzito.
Afya ikiwa njema, mwili usio na ulemavu dhahiri, vyeti viko sawia na halali, hamna ushoga, uwezo wa kujieleza
(kama ni kidato cha nne na kuendelea kujieleza historia yako kwa ufupi kwa maneno na maadishi kwa lugha ya kiingereza), hiyo inatosha kupambana.
asante sana mkuu
je kama wote wamekidhi vigezo njia gan nyingne ya kuwapunguza ili wafikie lengo
Mungu saidia mana huu usaili haueleweki utakuwaje,mana watu ni wengi na nafasi ni chache
nafasi 70 kwa watu zaidi ya elfu nane!!!
kaka katika watu wewe nakupa tano, ila kwangu mimi tatizo ili guu langu sijui kama lina uvungu au la. sasa nisaidie nitawezaje kujipima kama mguu una uvungu au hapana. na je kwa sehemu kama ccp unyayo kupimwa unaweza kukurudisha nyumbanikwa kukosa uvungu tu wakati qualities zote unazo.
JE, pia unaposema mzigo ustuke unamaanisha mzigo upi? kipenyo au dushelele. tunaomba ujuzi wako tafadhali
Vipi kuhusu mtu mwenye makovu kwenye mwili hasa hasa yale makovu makubwa makubwa yanayovimba ka jipu?!
Kama unataka kupima uvungu :
Chovya kitambaa chochote kwenye maji. Kitandike kwenye sakafu halafu kanyaga hicho kitambaa ukiwa umesimama halafu toka ukanyage mahali pakavu. Tazama foot-print ya unyayo wako baada ya kutoa mguu hapo mahala pakavu ulipo kanyaga. Hivyo ndivyo wanavyo pima. Siku hizi unyayo sio ishu sana labda kama unaenda kwenye Jeshi la Wakurya Tanzania.
mjomba husipotoshe..uvungu ni muhim tena sana..kule huvai sendo ujue...na ukipitishw kwa kubebw na uvung huna shuhur yake utaiyon hakuna atakaejal kua unaumw miguu maan wanaamin ulipimwa vyote