Hatimae simba wawaunga mkono yanga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimae simba wawaunga mkono yanga

Discussion in 'Sports' started by ndomyana, Jul 15, 2012.

 1. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #1
  Jul 15, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Katika kudumisha mila na desturi ya utani wa jadi,. yule bingwa wa kinesi cup, urafiki cup,vpl ameaumua kumunga mkono rafiki yake bingwa wa kagame cup, tusker cup kwa kukubali kunyokewa 2-0 na vijana wadogo wakusanya ushuru wa uganda.
  Asante mtani kwa kutosajilia wachezaji magazetini
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  kaazi kweli kweli , ila fadhari hakuna kuchekana,
   
 3. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #3
  Jul 15, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 839
  Trophy Points: 280
  Sio kuchekana ni kuwacheka, wao si walishacheka jan a?
  Leo zamu yetu kukenua!
   
Loading...