Hatimae Sabodo achangia harusi.

Tumeanza kuendekeza Umaskini hata kwenye mambo ya kijamii??..Umaskini hautaondoka kwa stahili hii ndugu yangu..mwache Dr Slaa afurahie ndoa yake bwana tusianze kumuwekea masharti kibao.

Ni OMBI tu ndugu!!, hilo kwamba sharti unasema wewe!!.
 
cha umuhimu ni hizo pesa anazo toa huyu Bw., jee i hope zisiwe TAX deductable. Kwani mara nyingi wafanyi Biashara wakubwa wanatoa misaada alafu baadaye wanadai lazime zipunguzwe kwenye kutoa kodi.

Pia sioni sababu ya Dr Slaa kuhitaji msaada wa kuoa, mshahara wake unatosha sana, pamoja na akiba ya toka bungeni.

La pili hii forum iko biased sana na vyama vya kisiasa vingine.
 

Harusi ya Ridhiwani Kikwete iligharimu 135millioni...
Tatizo lako unawaza kwa kutumia hizo kengeza zako!
 
NAUNGA MKONO HOJA. Siyo tu WAIRAQ hata mahali pengine pa nchi.

Anaweza akaalika watu wa chache na pesa nyingine ikapelekwa katika mahali pa maendeleo anakuwa mfano yeye kama kiongozi.

Itakuwa ni aibu kusikia "ndoa ya dr yagharimu mamia ya mamilioni"

Iwe ndogo na nzuri pia.
 
Huwa maombi kama haya unayatoa kwa wote wanao funga harusi au umeamua kuanza kuleta badiliko la kiakili kwa Dr wetu. Muacheni Dr afurahie sherehe yake na mpendwa wake. Sherehe ya kwenye runinga utaiona akipigiwa mizinga 21.
 
Huwa maombi kama haya unayatoa kwa wote wanao funga harusi au umeamua kuanza kuleta badiliko la kiakili kwa Dr wetu. Muacheni Dr afurahie sherehe yake na mpendwa wake. Sherehe ya kwenye runinga utaiona akipigiwa mizinga 21.

Si mbaya kwenye hili, yeye kama kiongozi akionyesha mfano. Binadamu tuna tabia ya kuangamiza hela nyingi kwenye mambo kama haya wakati kuna watu mlo mmoja kwa siku ni shida, watoto hawana madawati, vitabu shuleni. Akiwasaidia hawa kwa yeye kujinyima, atapata baraka nyingi sana.

Vile vile itakuwa ni kama sherehe yake kwa waTanzania wengine.
 
Mkuu kwani Sabodo ni serikali? Kawaulize serikali ya CCM kwanini hatuna visima vya maji.

Nadhani alikuwa Ana maanisha huyu rais kukubali hizi million kwa harusi. Anataka apeleke kwennye maji.
Nami naunga mkono hoja.
 
Atakuchimbia visima na then atakuletea ata nguo za kubadilisha anyways Sabodo kafanya mengi sana Tz wewe umefanya nn bora mie nagawa ujuzi
 
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?

Uhusiano wa visima na harusi uko wapi mkuu. We hela zako unazopata umechimba vingapi? Kodi za wananchi zinafanya kazi gani kama Sabado ndo awe anachimba visima? Aki hiari kutumia fedha yake anavyotaka si kosa acha propaganda
 
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?
ha! Kwani baba yenu yule msitake kumbebesha mzigo usiomhusu.hilo swali muulize kikwete na mawaziri wake
 
Shillingi Million 60? Zote hizo za HARUSI wakati Watanzania hatuna VISIMA VYA MAJI?[/QUOTE




.




Ebo!


Kwani yeye anatoza watu kodi?! pesa ya jasho lake...anaitumia apendavyo...

Mwambie basi CAG akamkague.


.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…