Hatimae Rafiki zake wote wamesha nipa bado yeye

Hatimae Rafiki zake wote wamesha nipa bado yeye

Kuna magonjwa,Uzinzi sio sifa kijana.Utakuja uharibu maisha yako kwa kuendekeza hiko kichwa kisicho na nywele.
 
Una muandiko mbaya kichizi mtu akimaliza kusoma lazima kichwa kiume
 
Mwandiko wa mume wa mtu huu. Aisee wadada endelee kupenda wanaume wenye pesa tu, hawa mafundi simu wapumbavu sana
 
Vitu vinapanda bei kila uchwao ila vijana wako bize kufukuzana na mbususu.
 
Back
Top Bottom