Bado waraka wa Katoliki utatoka very soon. Lazima Magufuli anyooshwe kwanza hadharani ili ajijue kuwa yeye sii Mungu wa miungu!
Yaani iwe siri sirini tu?
Mbona sielewi miye?
Kwani mahubiri huwaje?
Huwa chumbani jamani?
Sielewi kitu jamani miye
Mie ndio nimetoka kapa kabisaaaaa! Ukishaelewa, naomba unieleweshe MkuuYaani iwe siri sirini tu?
Mbona sielewi miye?
Kwani mahubiri huwaje?
Huwa chumbani jamani?
Sielewi kitu jamani miye
Polepole bwana!
Just simply, in the principles of community development, the only organization that is the strongest of all people's based societies Faith Based Organization is identified as one. So if you mess up with your relationship expect to get the throw of the hell by 2020, no mercy, no mercy!!! That's why we say, "if you scratch my back I will scratch yours"HBaada ya maaskofu kuliamsha dude kuanzia kipindi cha Salam za krismasi na salam za mwaka Mpya, hatimae katibu mwenezi CCM ndugu Humphrey polepole amejitokeza na kuwaomba maaskofu waishauri serikali sirini kwani kwa hali ilivyo sasa ni Kama wanaidharilisha, Rais yuko tayari kupokea ushauri na kuufanyia kazi.
My take
Kila shetani ana mbuyu wake ukimya wa maaskofu na mashehe umetuumiza Sana Kama taifa na Sina Shaka wameamuka usingizini baada ya Askofu niwemugizi kuelekezewa bomba la moshi,pia salam zangu za pole ziwafikie Clouds Media
Ngoja nifuatilie na mimi nipaoneHivi hao maaskofu kuna popote wametaja ccm?