hatimae okwi atua JNIA

hatimae okwi atua JNIA

BASIASI

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2010
Posts
9,732
Reaction score
5,011
Habari zilizoingia hivi punde yule mchezaji wa yanga alietokea simba
ama tunisia kama mashabiki wa simba waaminivyo ametua uwanja wa ndege wa julius nyerere
kwa ajili ya mpambano wa jumapili

habari zaidi tutawaletea soon
 
Edgar Agaba ambaye ni mwanasheria wa Emanuel Okwi amesema mchezaji huyo atatua nchini kesho kujiandaa na mechi ya mtani jembe dhidi ya Simba Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa.
https://www.facebook.com/MwanaSpoti...&total_comments=23&notif_t=feed_comment_reply
 
Habari zilizoingia hivi punde yule mchezaji wa yanga alietokea simba
ama tunisia kama mashabiki wa simba waaminivyo ametua uwanja wa ndege wa julius nyerere
kwa ajili ya mpambano wa jumapili

habari zaidi tutawaletea soon
hii ni kwa hisani ya akilimali
 
Habari zilizoingia hivi punde yule mchezaji wa yanga alietokea simba
ama tunisia kama mashabiki wa simba waaminivyo ametua uwanja wa ndege wa julius nyerere
kwa ajili ya mpambano wa jumapili

habari zaidi tutawaletea soon

Vp Rage yupo hapo JNA?
 
Kapime kwanza Wewe kisha ulete huu uzi Rage Kashamvuruga Huyo
 
Hivi huyu mchezaji ndo yule alikua na mauhusiano ya kimapenzi na mtoto mzuri sintah? Nauliza tu jmn msinishambulie!
 
Hv una akili timamu? Isije ikawa kuna funza anazunguka kwenye ubongo wako! Go to hell u son of a b......ch.

haahaaa Mkuu plp
wasamehe bana sio tatizo lao tatizo ni kukwepa umande mpwa
 
Okwi haji kwani FUFA imemkatalia kwa kigezo cha Okwi alikuja kucheza kwa mkopo iweje Villa wamuuze?
 
YANGA SC wameingia kambini jioni hii katika hoteli ya Protea, Dar es Salaam kujiandaa na mpambano dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Simba SC wa Nani Mtani Jembe, lakini mshambuliaji mpya Emmanuel Arnold Okwi bado hajawasili.
Baadhi ya wapenzi wa Yanga na Waandishi wa Habari walifika Uwanja Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam kumpokea Okwi, lakini hakutokea na hakukuwa na taarifa za kutokea hadi wakaondoka
 
Back
Top Bottom